Unazungumzia mambo ya zinaa bila woga wowote kwa Mungu wako aliyekuumba?
Lengo ni kubadilishana mawazo na kusaidiana kwa namna moja ama nyingine, pamoja na kumwogopa Muumba pia inatupasa tumshukuru kwa kutupatia uwezo wa kujadiliana kuhusu maisha..
Ogopa zinaa (uzinzi, uasherati, ulawiti, etc) ndugu yangu, ni machukizo makubwa sana mbele za Mungu!
Jamani hili tatizo halijanitokea ila huwa najiuliza kama ikitokea Binti ambaye mtu unamfeel kupita kiasi siku anapokubali kula tunda na wewe halafu kufika ndani lahaula, jogoo linagoma kabisa kuwika bila sababu za msingi au labda kwa sababu ya uwoga. Na wakati akishaondoka tu jamaa anakuja juu na mihasira kibao mpaka unasikia maumivu.
Je ilishawahi kukutokea? au kama ikikutokea utafanyaje?
Manake kwa uzoefu wangu wa stori za vijiweni nimewahi kusikia kuwa hii hali hutokea sometimes.
Ogopa zinaa (uzinzi, uasherati, ulawiti, etc) ndugu yangu, ni machukizo makubwa sana mbele za Mungu!
Bila mapenzi nafikiri wewe usingekuwepo duniani
...hali hiyo inaitwa mfadhaiko, hata wanawake na wanandoa (wengine) huwatokea siku ya kwanza... "mkamia maji hayanywi!"
Mbaya kujilazimisha, unaharibu kabisaaaa....
Calm down na mjipange upya.[/QUOTE] I like this......wajipange eti!