demu wa brother angu anataka nile vya kaka, this weekend...should i escape?

Take care kaka.. Panania pana njia. Never try it, otherwise you live your lifetime to regret it
 
Akili kichwani mwako!, kama Kaka yako ni player, na hiyo timu nzima iliyomzunguka ni maplayer pia, kama wewe unataka ugudegude ili ufikie ugubegube later, nenda pia!
 
Kula maana hakuna wanawake wengine. Alaf ukija kudai ARVS pale bugando ntakupa sumu ya panya ili ufe mapema usije ukatusumbua.
 
lol we ushakula hapa wajisafisha tu
wanyarwanda walivo na shape nzuri afu umwache hivi hivi mwee?
by the way sio mke wa broda we kula huenda ukaoa kabisa
 
Ogopa sana mwanamke anayejirahisisha,HUYO ATAKUWA MGONJWA NA ANATAKA AWAMALIZE FAMILIA NZIMA,toka nduki,we kimbiaaaaaaa
 

ucjaribu kuchovya,be gentleman, tell her no and mean it no
 

Permission granted, just proceed.
 
Thread nyingine bwana!!!! Mhh

Naona ukishamla huyu dada utakuja kuanzisha thread hapa utaambie jinsi ulivyomkuta. Kha! Jaribu kutumia akili yako japo kidogo basiiii..

Acha tamaa ndugu......
 
Kwa mwanaume halikua swali hili, kama demu kafikia viwango vya ubora we piga hayo mambo ya demu wa kaka sijui futilia mbali na akizidi kujileta endelea kupiga tu, likitokea lakutokea litakua limetokea ila we ain't praying for that to happen.
Best of luck man.
 
:A S thumbs_down::A S thumbs_down:
Be consinstency in story telling, is your brother = jamaa = boss, or they are three different people?
:clap2::clap2::clap2:
 
Reactions: LD
DEMU wa brother ako!!!!? Demu! Demu! Demu!
 
"TULIZANA...vunja mtandao" ujumbe huu unaletwa kwenu kwa hisani ya wizara ya afya na TACAIDS.
 
Thread nyingine bwana!!!! Mhh

Naona ukishamla huyu dada utakuja kuanzisha thread hapa utaambie jinsi ulivyomkuta. Kha! Jaribu kutumia akili yako japo kidogo basiiii..

Acha tamaa ndugu......

Bibie Uda'a ufafanuzi tafadhali hapo kwen bold....kwani jamaa ni cannibal?
 
Last edited by a moderator:

1 - Joining Date yako inaonesha bado ni mwanafunzi na unahisi JF ni kama facebook (kwamba mtu anaongea what's in his/her mind)...tumia mtandao huu kujifunza yanayojenga na endelevu kwa kuomba ushauri ama kuwashauri wengine.
2 - chuma hufua chuma...kama huyo kaka yako ni player, basi hata huyo shemeji yako ni player ndo maana kwake haoni hatari kukutokea na kutaka kukupa mzigo. Na kwa mtindo huo usipokuwa makini utajikuta na wewe unafuata nyayo za kaka. Na nahisi si wewe tu peke yako anayetaka kukupa, hata marafiki za kaka yako inawezekana wameshapewa.. Shinda tamaa...UKIMWI BADO UPO NA UNAUA.
 
Hapa tunausemea moyo tu .Dogo anaonekana ameshaoza kwa shemeji.Uamuzi ni wako Siku zote vibaya ndio vinajitembeza !!
 
njiwa, usipite rudi. .

mkuu BT yoyo aliwasema chit chat kule kwa thread zao akashambuliwa hadi basi.. sasa inabidi maeneo mengine tupite tu bila kugugusa maada maana tukifunguka kwamba hii kitu ni Cr.Ap kuna wakuu watanimeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…