Demu wa-future lakini anapenda kuomba ela. USHAURI plz.


ndiyo ni kusaidiana sema tatizo wadada wengi ni wagumu sana kutoa
 
Mimi nashangaa sana......... Mpenzi wako ana katabia flani, wewe hukapendi badala ya kutafuta njia nzuri ya kumuelewesha kuwa wewe huipendi hiyo tabia, unakimbilia huku jf..... Funguka mdogo wangu, mueleweshe kinagaubaga bila ugomvi, akikuacha kwa sababu ya kumueleza ukweli, mshukuru Mungu kwani atakuwa hakufai. Communication is very essential kwenye mahusiana, sio unaumia kimoyo moyo tuu.
 
Hivi ni lazima mwanamke autumie mwili wake kama kitega uchumi, kwani akipunguza tamaa na kutafuta mwenyewe pesa kutakuwa na ubaya wowote, kuliko tabia hii ya kuomba omba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…