Demu wa mtaani anaelazimisha salamu

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
316
Reaction score
848
Daaah wakuu APA mtaani kwangu kuna pisi Kali imeamia anapokaa mshikaji wangu NAyo imepanga pale sasa Mimi uwa nakutana nayo sana nikienda kwa bro kumtembelea maana wanapanga nyumba moja sasa Mimi hii pisi uwa naikaushia sina shobo nae sasa miongoni mwa wapangaji kuna demu nafahamiana nae ni RFK tu

Sasa Leo nimeenda pale kumtembelea bro nawakuta mademu watatu wapo wanakula nje kibarazani yupo hii pisi mpya na yule RFK angu na demu mwingine sasa nikawapita tu nilikuwa nimevurugwa zangu nikaenda kwa bro bahati mbaya sikumkuta sasa natoka nje zile pisi zikaniita yule demu RFK angu akaanza kusema huyu Dada analalamika eti simsalimiagi daaah nikajitetea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…