Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Mar 16, 2011 #1 Hela hazilali so ukilala ni wewe tu na zina kazi ya kutengenezwa na hazikungoji uamke mkuu.
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,273 Mar 16, 2011 #2 Hapana get you!! Ivuga siku zote najua unamke kumbe bado?? Unaita vimwana wako @Demu
LD JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 3,014 Reaction score 578 Mar 16, 2011 #3 Duh Ivuga umeniacha!!
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 Mar 16, 2011 #4 Ivunga unajua wanaume wa Ki Jerumany ndo wanao spent masaa na masaa kwenye kioo Mpaka msichana anapatwa na hasira..
Ivunga unajua wanaume wa Ki Jerumany ndo wanao spent masaa na masaa kwenye kioo Mpaka msichana anapatwa na hasira..