Demu wako anaolewaaa yule mwenye manyonyo anaolewaaa

kiss daniel

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
758
Reaction score
2,062
Aman iwe juu yenu

Sikia nikwambie; demu wako anaolewaaaa
Umasema nini? Yule mwenye manyonyo anaolewaaa

Unasemaaa!?

Oya washikaji punguzen saut kuna wagen

Huyu fala anasema ninii!?

Punguzen saut

Anasema tusinywe sodaa na tuna hela

Kumbe viziwi

Mwenyewe

Unasema nini

Kumbe wewe ni fala

Za asubuh




Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaa..! kilichompata mtoa mada sio cha nchi hii
 
Asee hawa jamaa ni wa wapi,,wametisha sana,,
Niliwaona juzi nilicheka sana kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao washkaji kuna clip yao moja niliicheki mshkaji anaelekezwa kucheza pes afu yy haskii akala kofi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…