Miser Benny
Member
- Sep 2, 2018
- 54
- 16
Mm ubaya wa sura sio changamoto kwangu , wanawake wote kwangu ni wazuri ila mbaya ni yule demu kicheche yaani ambaye hajatulia (tamaa)Njia rahisi ya kumwambia demu wako ni mbaya bila kumkera, "baby unajua uzuri wako ni wa tofauti kabisa"[emoji2] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila unayemuona kicheche naomba namba yakeMm ubaya wa sura sio changamoto kwangu , wanawake wote kwangu ni wazuri ila mbaya ni yule demu kicheche yaani ambaye hajatulia (tamaa)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakutumia mkuu tena ni rahisi anaitaji bwana ila mm kwa Sasa sio muowajiKila unayemuona kicheche naomba namba yake
Asante, kwahiyo nikiingia na gia ya ndoa nishamnasaNakutumia mkuu tena ni rahisi anaitaji bwana ila mm kwa Sasa sio muowaji
Sent using Jamii Forums mobile app