Demu wangu kaenda chuo!

Demu wangu kaenda chuo!

Baba Wille

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
548
Reaction score
551
Jamani nimemaliza chuo fulani hapa degree maisha ya wadada wa vyuoni naipatapata, mchumba wangu pia kaenda chuo this year.. Je nina mtu hapo au nitafute mwenzangu aliyepo uraiani tuu??

Serious ushauri is needed!!
 
wewe a cha kukariri maisha tabia na msimamo wake ndo kila kitu. pia inategemea jinsi ulivyojenga upendo na uaminifu kwako ili aweze kuona wewe ni zaidi ya wengine. kama hueleweki eleweki alishakuonaa humjali anakukamaya na michepuko kwisha habari yako. jitahidi uwe na mawasiliano ya karibu na ukipata nauli nenda umtembelee
 
Jamani nimemaliza chuo fulani hapa degree maisha ya wadada wa vyuoni naipatapata, mchumba wangu pia kaenda chuo this year.. Je nina mtu hapo au nitafute mwenzangu aliyepo uraiani tuu??

Serious ushauri is needed!!

Hata chuo ni uraiani mkuu

Ondoa shaka!!!
 
lekcha.....
bodaboda.....
mjeda....
polisi....
muuza chipsi.....
muuza vibodi.....
muuza ulembo....
mmiliki hostel....
brazameni wa chuo....
WOTE HAO WAKIMKOSA NJOO KWANGU.......

Ndo mnavyojidanganyaaa eenh? Msimamo tu wa mtu, na akitaka usalama basi ampe uhuru wake, amkumbushe jinsi anavyompenda na kumuamini....

la sivyo akijifanya anajua sana kumchunga chunga, ye ndo anajua ratiba kuliko huyo msomaji mwenyewe.....atadinywaa mpaka na muuza matundaa....!
 
Mwache mtoto wa watu akasome, kama hujiamini achana nae.
 
lekcha.....
bodaboda.....
mjeda....
polisi....
muuza chipsi.....
muuza vibodi.....
muuza ulembo....
mmiliki hostel....
brazameni wa chuo....
WOTE HAO WAKIMKOSA NJOO KWANGU.......

sio rahisi kukwepa mishale yote hiyo
 
Jamani nimemaliza chuo fulani hapa degree maisha ya wadada wa vyuoni naipatapata, mchumba wangu pia kaenda chuo this year.. Je nina mtu hapo au nitafute mwenzangu aliyepo uraiani tuu??

Serious ushauri is needed!!
Muulize huyo demu wako akushauri!!!
 
lekcha.....
bodaboda.....
mjeda....
polisi....
muuza chipsi.....
muuza vibodi.....
muuza ulembo....
mmiliki hostel....
brazameni wa chuo....
WOTE HAO WAKIMKOSA NJOO KWANGU.......

Mbona katika wote hao hakuna hata mmoja alienipitia....

Nakumbuka wakati naenda chuo my Bf alikuwaga na mawazo kama haya halafu tena marafiki zake wakawa wanampa maneno zaidi..eti nikipita block D vidume vimejazana haviniachi ye huko anajifanya ananisubiria..nilimaliza miaka yangu na hakuna alienishika..
 
Brothr hebu 2anzie hap kwanz, ameenda chuo gan?
IFW,CBE,ZOOM,UDSM,MAKUMIRA,EAGLE WING?😕
 
Mbona katika wote hao hakuna hata mmoja alienipitia....

Nakumbuka wakati naenda chuo my Bf alikuwaga na mawazo kama haya halafu tena marafiki zake wakawa wanampa maneno zaidi..eti nikipita block D vidume vimejazana haviniachi ye huko anajifanya ananisubiria..nilimaliza miaka yangu na hakuna alienishika..

vigezo na masharti kuzingatiwa. sio kila mwanamke anateka attention za wanaume..

inawezekana hujachukua kwa mama what you got..
 
Mbona katika wote hao hakuna hata mmoja alienipitia....

Nakumbuka wakati naenda chuo my Bf alikuwaga na mawazo kama haya halafu tena marafiki zake wakawa wanampa maneno zaidi..eti nikipita block D vidume vimejazana haviniachi ye huko anajifanya ananisubiria..nilimaliza miaka yangu na hakuna alienishika..

Sasa kama sura imekaa kushoto nani akushike.
 
Back
Top Bottom