"Block D" kwa IFM ni la wanaumeMbona katika wote hao hakuna hata mmoja alienipitia....Nakumbuka wakati naenda chuo my Bf alikuwaga na mawazo kama haya halafu tena marafiki zake wakawa wanampa maneno zaidi..eti nikipita block D vidume vimejazana haviniachi ye huko anajifanya ananisubiria..nilimaliza miaka yangu na hakuna alienishika..
"Block D" kwa IFM ni la wanaume
Tabia ya mtu ni usiku wa kiza. Kama ni wa kumegwa atamegwa. Wanawake wamekuwa warahisi sana siku hizi. Ila nakushauri usipende sana ukashindwa kufanya mambo yako. Mwanamke sio wa kumpenda asilimia hata 75%, always leave some for yourself lest some ---- goes down you wont be surprised. In the end, ni maamuzi ya huyo demu wako kugawa au kutokugawa punani yake. Endelea na mipango yako ya maisha, wanawake wako wengi sana. Don't you ever let your life revolve around a woman.
Kuna jamaa kaniambia ukitaka sehemu salama mkeo mpeleke Muslim University of Morogoro(MUM).Pale anasema kila mtu anajiheshimu.Pia hakuna mchezo pale,wanasoma sana na wanaslogani yao kuwa hakuna kuchukua degree pale bali unaenda kutafuta degree.Pia mfumo wa panel unawaweka bize na assignment za mara kwa mara.Anakushauri mpeleke pale MUM(Morogoro),anasema hutopata stress kamwe na utamkumbuka kwa ushauri wake.
so unataka abaki mbumbumbuuu kisa relatioship yako ww? mbona ww ulienda na umerud na hata yy pia mwache aend na atarud la msing ni kuweka makubaliano baina yenu! ni kwel wanawake wooote huwa wakienda vyuon ni lazma waaanzishe relationship mpya???
Pole sana mkuuJamani nimemaliza chuo fulani hapa degree maisha ya wadada wa vyuoni naipatapata, mchumba wangu pia kaenda chuo this year.. Je nina mtu hapo au nitafute mwenzangu aliyepo uraiani tuu??
Serious ushauri is needed!!
Mmhwewe a cha kukariri maisha tabia na msimamo wake ndo kila kitu. pia inategemea jinsi ulivyojenga upendo na uaminifu kwako ili aweze kuona wewe ni zaidi ya wengine. kama hueleweki eleweki alishakuonaa humjali anakukamaya na michepuko kwisha habari yako. jitahidi uwe na mawasiliano ya karibu na ukipata nauli nenda umtembelee
lekcha.....
bodaboda.....
mjeda....
polisi....
muuza chipsi.....
muuza vibodi.....
muuza ulembo....
mmiliki hostel....
brazameni wa chuo....
WOTE HAO WAKIMKOSA NJOO KWANGU.......
sio rahisi kukwepa mishale yote hiyo
DuuhMbona katika wote hao hakuna hata mmoja alienipitia....
Nakumbuka wakati naenda chuo my Bf alikuwaga na mawazo kama haya halafu tena marafiki zake wakawa wanampa maneno zaidi..eti nikipita block D vidume vimejazana haviniachi ye huko anajifanya ananisubiria..nilimaliza miaka yangu na hakuna alienishika..
🙂🙂Ningeamua wanishike wangenishika... kutongozwa na kukubali mtongozo ni vitu viwili tofauti
HahahaSasa kama sura imekaa kushoto nani akushike.