Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 568
Wakuu nikitaka kujua au kupata thread iliyo mfanya mwan jf kuwa banned nifanyeje..? D-A ni mmoja kati ya wanafamilia ambao wanauwezo mkubwa wa ku contain/absorb shoks wanapokuwa provoked. Ningependa kujua yalio msibu Dada DenaAmsi na ni ban ya muda gani? nimeshaanza kummiss.