Wakuu nikitaka kujua au kupata thread iliyo mfanya mwan jf kuwa banned nifanyeje..? D-A ni mmoja kati ya wanafamilia ambao wanauwezo mkubwa wa ku contain/absorb shoks wanapokuwa provoked. Ningependa kujua yalio msibu Dada DenaAmsi na ni ban ya muda gani? nimeshaanza kummiss.
hii sred labda ingekuwa kny complains tungepata majibu kwa urahisi
Wakuu nikitaka kujua au kupata thread iliyo mfanya mwan jf kuwa banned nifanyeje..? D-A ni mmoja kati ya wanafamilia ambao wanauwezo mkubwa wa ku contain/absorb shoks wanapokuwa provoked. Ningependa kujua yalio msibu Dada DenaAmsi na ni ban ya muda gani? nimeshaanza kummiss.
Duh i see Painkiller sio wa kumchezea
Pole D.A naamini umepewa BAN ya haki ukilejea mambo yataenda mswano.
Hebu tuletee hiyo original basiHAMNA haja ya kuambiwa sababu,moderators wanainyosha JF,ikiwezekana piga kwa sana life bans-tunaitaka JF original
Labda amekula michango ya harambee l.o.lsi tulikuwa nae kwenye harambee jana tu....duh!:A S 13:
HAMNA haja ya kuambiwa sababu,moderators wanainyosha JF,ikiwezekana piga kwa sana life bans-tunaitaka JF original
Mamito Dena what happened tena :A S 13: