Dena Amsi na Mr Rocky

hapahapa ili wajionee wenyewe...!
Nadhani wazijua sifa za mtu nimtakae plz be honest kunitajia ni yupi mwenyenazo bt usinitajie men wenye vyamavingi nataka asiye na chama hata kimoja.

Hapa bora nikuambie wazi Vin Diesel anakufaa ametoka machimbo ana fweza kama tajiri Bishanga yaani yeye anamwaga tuu
Arushaone mchovu hela yake ya manati inatoka kwa budget
Slave bado kula kulala hata bei ya chumba cha kupanga hajui bado denti wa mlimani primary skuli
 
Last edited by a moderator:

sosoliso nampigia debe apate mume mzuri asikae singlw siku nyingi bana na kwa taarifa kama anataka aweke jina lake copy right ndo hatutalitaja bana
Au sosoliso una interest nimwambie Paloma hapa kuwa na wewe umeanza tabia ya penda penda
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Sikiliza Vin Diesel.. Waifu wangu Paloma nimekuta kitu bado kwenye nailoni.. Nikafungua mwenyewe na kitu nta.. Na mapigo yangu ndo anayoyajua so far..
Mmhhhh sosoliso unamuongelea huyu huyu binamu yangu Paloma au mwingine
Kweli mchina anafanya kazi
Mbona husband wake alikuwa Vin Diesel akaaachika ndo akaja kwako sasa huo unanihii ulitoka wapi au mchina kafanya kazi
Mhhhh hebu Vin Diesel atuambie hapa au alikuwa nae wanakaa kama kaka na dada
 
Last edited by a moderator:

Kwa kifupi naona sosoliso kaona pengo ila kaamua kuliita mwanya.....
 
Last edited by a moderator:

Huyu bibie nadhani hanijui....inabidi apate salamu toka kwa Evelyn Salt...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…