Muite! tena ndio ninayemtaka maana sisi ndo mawifize.....tuna maneno ya kumpa!!!
We muache tu atakuja kutembea weekend hata maji ya kunywa hapati
aaah jamani wifi hutaniwi!!! mie nimeona uko kiiimya ikabidi nitumie mbwembwe zote walau uje unene nasi kidogo! maana kwa uzuri wako.....ukiongea....sauti yako...ukiachia tabasamu....meno yako sasa.......yani mtu anatamani kukuangalia tuuuu! ndo mana binamu yangu karudhisha majeshi!!! Huyo ndo Dena Amsi banaaaa..........si ndio binamu Mr Rocky
Yake nahisi itakua ni saccos..!!Chocs hebu muulize Arushaone ndoa yake na Lady doctor ina baraka za nani na je mwenyekiti Baba V ana file lake au ni zile zake za king mswati
Mi penda wewe sana Paloma kwa sifa hii kwa my wife wangu Dena Amsiaaah jamani wifi hutaniwi!!! mie nimeona uko kiiimya ikabidi nitumie mbwembwe zote walau uje unene nasi kidogo! maana kwa uzuri wako.....ukiongea....sauti yako...ukiachia tabasamu....meno yako sasa.......yani mtu anatamani kukuangalia tuuuu! ndo mana binamu yangu karudhisha majeshi!!! Huyo ndo Dena Amsi banaaaa..........si ndio binamu Mr Rocky
naomba hilo swali niulize mimi
copy kwa Chocs
Lady doctor naumwa aise naomba unifanyie mpango wa matibabu basi
nitakufanyia mpango lakini sitokutibu mimi, kwani wagonjwa nilionao ni wengi.
Naomba uonane na Shansarie anamgonjwa mmoja tu