Dena Amsi na Mr Rocky

Last edited by a moderator:

hawa wagonjwa wanagubu sana na mimi huwa na hasira za karibu....... Naweza nikafanya mauaji bila kukusudia, nimeona afadhari yao niwapeleke kwa shansarie hanaga hasira huyu dokta.... Labda wanaweza wakapona
na ninampango wakuwapeleka Slave na The Boss
 
Last edited by a moderator:
Lady doctor ugonjwa wa Slave unaujua
Ana ugonjwa wa upungufu wa pesa mfukoni sijui kama una tiba yake na mwingine wa ukosefu wa hamu ya kupiga busu sasa sijui tiba zake unazo
Arushaone anaumwa ugonjwa wa kushindwa kwa seal zake za kuuza bangi una dawa zake kweli
 
Last edited by a moderator:

sindio maana sitaki kuwatibu Mr Rocky ......... Wanamagonjwa makubwa kuliko professional yangu.
 
Last edited by a moderator:
akija na mkewe tiba itakuwa haifanyi kazi, yeye peke yake

me huwa nawatibu mpaka wanapotezaga fahamu hawa so ni vema mkewe amsindikize ila mkewe hato ingia theater, nikisha maliza kumtibu ndio namuita mkewe amsaidie mumewe kumkokota maana huwa wanakuwaga hoi bin taabani.

Asprin alikuja peke yake mpaka sasa hajazinduka nawatafuta wakeze waje wamchukue kabla sijatoa maamuzi magumu
 
Last edited by a moderator:
ni mimi nina dalili za kuzimia
kutokana na #905 hapo juu

hahahaaa! Pole sana, we tiba yako itabidi nikubadilishie memory card ya ubongo wako, naona hiyo unayoitumia sasa imeingia virus wengi sana wa stress ambao husababisha kuzimia hadi kifo kabisaa.
 
Masharti ya dokta ni magumu dah nyie shansarie na Lady doctor ngojeni kwanza nisiskass na my wife wangu Dena Amsi ndo anipe ushauri kama nije nipate tiba au nisije
Halafu kama mambo yenyewe ni kuwa unaingia thieta ukiwa mzima ila kutoka unakojotwa ni balaaa
 
Last edited by a moderator:

hahahaaa! Sisi ni madaktari bingwa hapana chezea kabisa
na ninatoa onyo kama hauumwi bora usije maana tutalaumiana baadae.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…