Mkuu
Baba V
Napenda kuchukua nafasi hii kukujulisha kuwa baada ya majadiliano ya muda mrefu na kupitia file la kila mmoja baina yangu na
Dena Amsi na kupitia kifungu kwa kifungu na mabishano na majadiliano ya muda mrefu tukiwa strong room, hatimaye muafaka umefikiwa
Ndoa hii imerudi kama zamani na kwa taarifa ya wana CC wote
Mr Rocky na
Dena Amsi wamerudiana rasmi na ndoa hii naamini kwa sasa itakuwa imara kuliko ndoa zote za CC
Tumefikia maelewano haya baada ya kujadiliana na kuonekana kuwa wote tulikuwa tunahangaika na ndo maana tumeamua kuzika tofauti zetu na kuamua kuwa kitu kimoja
Kwa taarifa hii ndoa ya mashaka iliyokuwepo kati yangu na
Mamndenyi imevunjika rasmi na
Mamndenyi yuko huru kwenda kwa mtu yoyote anayemtaka
Taarifa hii iende kwa
Erickb52,
Bishanga,
watu8,
Blaki Womani,
Preta, binamu zangu
Passion Lady,
Paloma,
Madame B charming lady , mwalimu wangu
gfsonwin,
snowhite,
sweetlady, kaka yangu
SnowBall na
HorsePower,
AshaDii,
Filipo,
marejesho,
stevoh,
manoah,
Slave,
Mamndenyi, na wadau wote wa CC
Dena Amsi karibu sana kwenye himaya ya
Mr Rocky