Dengue Hemorrhagic Fever

Dengue Hemorrhagic Fever

AljuniorTz

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2009
Posts
544
Reaction score
18
Wandugu,
katika pitapita yangu mtandaoni kuna ugonjwa huo uliotajwa; na kwa habari zilizopo umeshaingia Tanzania hasa hapo D'Salaam na kule nyumbani visiwani.

Kuna watu zaidi ya 10 washaambukizwa huu ugonjwa, ambao huenezwa na mbu abebae Dengue virus (DENV), na mbu huyu hata mchana kweupe anauma.

Stay health
 
Back
Top Bottom