Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu

Omari Makoo

Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
78
Reaction score
39
Hivi hii taarifa inayoenea kuwa deni linaloonekana kupungua kwenye salary slip ni tofauti na uhalisia uliopo kwenye database ya HESLB ina ukweli?

Tupeni uzoefu kwa mliowahi kuomba Loan statement kutoka HESLB.

Na kwa wale waliomaliza deni la bodi,je Bodi waliendelea kukata pesa baada ya deni kuonekana limeisha?
 
Back
Top Bottom