Deni la Diamond platnumz kwa Ali Kiba

Jiraniyetu

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
350
Reaction score
333
Habari zenu wadau,
Nianze na kilichonileta hapa,,,

Diamond platnumz unatakiwa ujue kuwa kwasasa una deni kubwa sana kwa kinachoendelea sasahivi na huu upepo wa TSUNAMI wa SEDUCE ME ya KING ALIKIBA,,kama tunavyoona wewe umeonekana ndo looser kwenye huu mpambano japo ulianza vizuri na kilicho kuharibia zaidi target yako ni ngoma ya ZILIPENDWA..

--Rekodi yako ya youtube imevunjwa..
--watu wanakuponda.
--Umeongeza kejeri kwa uchokozi wako..

Kitu kitakachokuweka salama ni kuvunja rekodi ya video mpya ya Alikiba tena ambayo imetazamwa mara 1000000 ndani ya saa 38 tu..
Kwahiyo jipange maana siyo kitu cha mchezo mchezo..

Maoni yenu wanajukwaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale watu wanapopiga kelele kwa viewers 2M wakati mtu ana nyimbo ina hadi viewers 31M.
Ni akili ya vijana wenye wivu,majungu na fitina.
Chukua rekodi ya huo wimbo wako ukiwa na siku tatu ulikuwa na views ngapi.

Ndio ujue cha kuandika in kipi??
 
Leo sikwenda kazini jirani yangu kafumaniwa na mkewe, dada nikamsikia anapayuka atalala na wanaume majirani wote amkomoe. Hivi hapa nimekaa mlango wazi nasubiri zamu yangu.
 
Queen Darling amecopy technic ya Mange Insta kwa zilipendwa
 
Leo sikwenda kazini jirani yangu kafumaniwa na mkewe, dada nikamsikia anapayuka atalala na wanaume majirani wote amkomoe. Hivi hapa nimekaa mlango wazi nasubiri zamu yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

ushauri wa bure
 
Mashabiki wa kiba wamesubir kwa zaid ya mwaka mtu haachii ngoma had afinywe ndo anatoka ni kiseduce me unadhan nn kingetokea kama si kufikisha hao viewers. Alafu mnakaa mnaanza kuongea na kujisifia kucha kutwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Huyu jamaa ana kauli za kike sana, mswahiliswahili,

Hana post za kisuper star, muda mwingi anapost utumbo, huwa anajishushia sana rate yake, sijui kwanini haigi wanachofanya masuper star wenzie km mwana fa, prf jay, ay, kiba watu hawa post zao zimekaa kisuper star ila mshkaji ni mswahili asiyebadilika, halafu uswahili wake ni ule wa kike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…