Hivi ni Mwalimu gani mzuri wakatiba aliyefanikiwa kukonga nyoyo za watu wengi kama pole pole coz mm nimiongoni mwa watu tuliomfwatila kwa ukaribu sana
Nataka tu nijue katiba mpya ikowapi broo ulitueleza vizuri sana kupitia kipinzi cha katiba mpya (channel Ten) kilicho kuwa kikiongozwa na general ulimwengu
Nilini utatuletea tea huo mjadala mpya wakatiba mpya,wananchi tungependa sana kuwa na katiba mpya ili ikidhi mahitaji yaliyopo