joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kenya’s Public Debt Hits Ksh5.8 Trillion As Economy Growth Slumps
Kenya’s debt as at end of June 2019 increased by 3.6 percent month-on-month to Ksh5.809 trillion.According to the Economic brief by Kenya Commercial Bank, year-on-year debt grew by 15.3 percent
www.kahawatungu.com
Huitaji kwenda shule ili ujue kwamba uchumi wa Kenya umesambaratika, ni wazi kwamba Jubilee wameshindwa kuiongoza Kenya.
Kama kweli GDP inaendelea kukua kwa kasi, lakini deni la Taifa linaongezeka kwa kasi(serikali haina pesa), na wananchi wenye akiba idadi yao inapungua kwa kasi, ni wazi kwamba hiyo GDP haipo ndani ya nchi, kama ingekuwemo nchini, lazima serikali ingekuwa na pesa ya kutekeleza miradi ya maendeleo na wananchi wangikuwa na kipato.
Jibu; Uchumi wa Kenya ni katika makaratasi, pesa yote ipo mifukoni mwa watu wachache katika Benki za Nje.