Deni la Kenya lagota 64%, uchumi waporomoka hadi 5.6%, wakenya wenye akiba ya Ksh 100,000 yashuka sana.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Huitaji kwenda shule ili ujue kwamba uchumi wa Kenya umesambaratika, ni wazi kwamba Jubilee wameshindwa kuiongoza Kenya.

Kama kweli GDP inaendelea kukua kwa kasi, lakini deni la Taifa linaongezeka kwa kasi(serikali haina pesa), na wananchi wenye akiba idadi yao inapungua kwa kasi, ni wazi kwamba hiyo GDP haipo ndani ya nchi, kama ingekuwemo nchini, lazima serikali ingekuwa na pesa ya kutekeleza miradi ya maendeleo na wananchi wangikuwa na kipato.

Jibu; Uchumi wa Kenya ni katika makaratasi, pesa yote ipo mifukoni mwa watu wachache katika Benki za Nje.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahaha, naona mambo magumu hadi post za Jamii Forum ndio zinatumika kama chanzo cha taarifa, poleni sana.
Tupo mapambio na Kiki 🤣🤣🤣
Huu uzi nataka tujaze mapambio ya mtakatifu Magu 😂😂😂
 
Kukiri jambo sio weakness, ni way forward katika ufumbuzi wa hilo jambo, tatizo ni pale utapotetea uovu, ukidhani litaisha kumbe kulinyamanzia ndiko unalizidisha
 
Wakati Kenya inasambaratika, wengine wanaimba mapambio. Failed state.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…