Kwani deni lote la Kenya sh ngapi?Haya Watanzania anzeni kushusha lawama za kitanzania kwenda kenya [emoji17]!
Muulize Kenyatta +254722123456Kwani deni lote la Kenya sh ngapi?
Sawia na uchumi wenu wote. $59 billionKwani deni lote la Kenya sh ngapi?
Nonsense alarmist thread.Deni la Kenya kwa China limepanda kufikia TZS 14.5 trilioni kwa miezi 12 kufikia Juni 2019, kufuatia kuchukua mkopo mpya wa TZS 2.2 trilioni katika kipindi hicho kwa ajili ya SGR. China ndiyo inaongoza kwa kuwa mkopeshaji mkubwa wa Kenya (bilateral lender), ikifuatiwa na Japan.
View attachment 1194955
Nonsense alarmist thread.
Kila mwaka Kenya inaongeza uchumi wake kwa takriban $10billion sasa wewe unapuruka sababu ya deni la $5bn jameni? Pilipili usiokula wakuwasha nini?
Ngoja utaona uchumi wa Kenya ukipanda juu mwaka huu kwa Tanzanian shlllings 23 trillion.
Unataka nikusaidieni uchambuzi wa kiuchumi utakusaidia ww mwenyewe na jeuri yako hiyoMuulize Kenyatta +254722123456
Unataka nikusaidieni uchambuzi wa kiuchumi utakusaidia ww mwenyewe na jeuri yako hiyo
Au ujui nchi yako inadaiwa sh ngapiHakuna jibu la kijeuri ila inaonyesha umekuzwa mazingira ya neno la kawaida kwako ni ujeuri.
Nimejibu kulingana na ulichoulizwa, mimi siyo mchumi.