industriousman
Member
- Jul 7, 2021
- 49
- 23
Maisha yako kasi sana na kila kitu kipo ndani ya muda unaweza kulala mchana ukashtuka ni usiku,ukalala usiku ukajashtuka jioni ya siku ya pili yaani dunia inazunguka kwa kasi ukizubaa inakuacha kama ambavyo wasomi wanapishana na MAFANIKIO YA NDOTO ZAO kwa jina la MAISHA HAYANA FORMULAR,huzuni sana yaani.
Chuoni unakutana na mtu anasomea ''Uchumi au siasa" lakini kazi ya ndoto zake ni ''Sheria" halafu mtu huyo huyo kila wikiendi yuko kwenye seminar na mikutano ya kujifunza ''ujasiriamali" ili akimaliza chuo ajiajiri kwa sababu ajira hakuna.
Mtaani nako unakutana na mtu ana taaluma ya ''Ualimu" lakini taaluma/kazi ya ndoto yake ilikuwa ni ''Uandishi wa habari" lakini kazi inayompa ugali ni ''biashara ya genge" huyu nae ukimuuliza kwa nini hukusomea ''uandishi wa habari?" anaweza kulijibu kipaumbele cha mikopo kilikuwa kidog😵k sawa ulisomea ''ualimu" mbona hufundishi halafu unauza genge? atakujibu ''hakuna ajira" na ukiendelea kumuuliza zaidi atakwambia ''MAISHA HAYANA FORMULAR".
Halafu hawa wote walikuwa ni wanufaika wa HESLB na walipata mikopo ya asilimia 100% ambapo kwa miaka mitatu anapopewa digrii yake baada ya kuhitimu anaondoka na deni la kama milioni 10.Halafu mtaani haendi kutumia taaluma iliyomgharimu Deni la milioni 10 kwa sababu ajira hakuna.
Unabaki unajiuliza mtu huyuhuyu wakati anaingia chuo alikuwa anajua mtaani hakuna ajira, bado akasomea kozi ambayo ajira kuipata ni sawa na kusubiri maembe kwenye mti wa mwashoki halafu mtaani anaenda kufanya kazi tofauti na taaluma yake.Hapa huwa najiuliza Sasa alikubali kupata mkopo wa deni la 10 asomee taaluma ambayo haitumii sasa Kuna umuhimu gani wa kusoma kitu ambacho hukitumii?
Mtu huyu huyu ana wazazi wanamtegemea na ndugu zake juu inabidi atafute pesa awasaidie nyumbani, ajihudumie mwenyewe na alipe deni alilokopa yaani ni mizigo juu ya mizigo.
Sasa unajiuliza huo ujasiri wa kusomea kitu usichokipenda tena hata ajira hakina aliutoa wapi?
Yaani alienda chuo kukopa deni la 10 asomee kitu asichokipenda kiasi hawezi kubuni ajira kupitia hicho wala mtaani hakitumii, ukimuuliza atakujibu maisha hayana formula.
Hivi unasoma miaka 3 yote kitu usichokipenda halafu huwezi buni ajira ujiari mpaka uanze kuvamia taaluma za watu ili upate pesa ina maana ulishindwa kubadili gia angani?
Bora usome kitu unachokipenda kiasi kwamba utakisoma kwa nguvu na juhudi huku ukifikiria namna kitakavyokunufaisha na kufanya ubuni ajira ujiajiri kupitia hikohiko ili lile litumike vizuri kupitia taaluma uliyosomea Kuliko kusomea taaluma nyingine ukarudi mtaani kufanya kazi za taaluma zingine unabaki kujilaumu ulichezea pesa kusoma vitu visivyokunufaisha na bado unadeni ulipe.
Nawafikiria sana hawa watu na huu msemo wa maisha hayana formular na ana Deni la 10mil ajira hana anafanya kazi za kuunga unga tu.Hii dunia Kama maisha hayana formular tengenza formular zako ziishi na uzifanyie kazi Kuliko kulazimisha kuishi kwenye hizi falsafa za MAISHA HAYANA FORMULAR ukachezea pesa kwa kufanya Mambo yasiyokunufaisha uishie kuteseka tu.
Ulisomea Sheria ajira hakuna una kopa pesa ufanye biashaea kisa flani alisomea udaktari na Sasa kauzika udaktari anafanya biashara kafanikiwa basi na wewe unataka ufanye biashara Sasa Hilo Deni la milioni 10 ulilotumia kusomea Sheria so bora ungesomea biashara ukapata madini kibao Kuliko kuigaiga formular za watu yangukie pua. Upate stress na presha ynadaiwa HESLB ulikokopa usomee Sheria isiyokusaidia na bado ulikopa BANK ufanye biashara halafu zimekufa kisa huna ujuzi mwisho was siku unakuwabmsema hovyo kuhusu mikopo kwa ujinga wako mwenyewe
Mwingine alisomea Sheria alipoona ajira hakuna akabdili gia angani akamliza Sheria halafu mtaani akaja kulima akafanikiwa akapata mtaju wa kufungua ofisi zake za kisheria akatoboa na kumpiga pesa kwenye Sheria na kilimo, wewe inakuja kichwa kichwa ulisomea ualimu umekosa ajira unarukia biashara mwisho zikushinde ukose vyote.
Kabla hujasonea taaluma yoyote hakikisha unajipanga kabisa ukijua ajira hakuna ili ukichagua taaluma ujue itakusaidia vipi kupambana na soko duni la ajira.
1.Tafuta taaluma uipendayo
2.Isome kwa bidii
3.Uibadilishe ikupe ajira
Sio uchagua taaluma halafu baadae uitelekeze na kudandia taaluma za watu kwa jina la MAISHA HAYANA FORMULAR
Industriousman
Make the great choice

Upvote
2