Deni La Taifa La Kenya Ni Mara Mbili Ya Deni La Tanzania Na Mara Tano Ya Deni La Uganda

1. Bring your own latests data.
2. Kenya has a population of 48-50 million.
3. Sawa. Keep believing what you want. Utachoka tu.


Ukiondoa pikipiki na bajaji, utabaki na 750,000 cars in 2015. By now, almost a million excluding GOT and NGOs. Now A MILLION cars equals 18 out of 1000.
Achana na porojo.
 
Je uchumi wa Tanzania ni sawa sawa na wa Kenya au na Uganda? Tuangalie mishahara wanayolipwa watumishi wa umma Kenya na Tanzania vinawiana? Hata magari ywliyopo barabarani Kenya na Tanzania ni tofauti sana
Hata magari yaliyopo barabarani ni tofauti sn!!!" Hebu fafanua mkuu.wp kuna magari mazuri na ya kifahari?
 
Na Kenya yenyewe tulikuwa tunaongea kuhusu 1.4 million cars mwaka 2011.
Wewe umesema 7 out of 1000 sasa nimekuwekea data unaanza kuhamisha magoli. You are getting softer as time goes.
You said Private sector ndiyo inaendesha economy ya Kenya wakat Tanzania ni Public, then you came with the Car thing, saying 7/1000.
Now what's next, that 90% of Kenyans OWN DOGS?
 
Kwahiyo? Sasa shilingi yetu iko juu mara tano ya Kenya!
Nyie viumbe mbona ni vilaza? Pula ya botswana inathamani zaidi kuliko randi ya afrika kusini.kw hiyo kiuchumi botswana iko juu kuliko afrika kusini???!! Hata awamu ya tano itawaacha mbumbu.
 

Wewe ni mshenzi sana. I gave you sources for my data.
I'm not in the business of cooking data like you bongolalas.

There is an index called Vehicles per capita.
Kenya is listed at 24 vehicles per 1000 people, Tanzania is listed at 7.

List of countries by vehicles per capita - Wikipedia

Also, 80% of our GDP is driven by private sector. I also gave you a link to that.
Kama hauna internet bundles za kufungua, don't blame me.
 
y Ngoja nikufundishe taratibu maana unaonyesha umejaa uharo kichwani.
US Debt imegawanyika sehemu mbili
1. Intergovernmental debt (5.8T)
2. Public debt (14.8T) as of 31st December, 2017.

Hiyo pie chart uliyoonyesha, ni distribution of Public debt, where The Fed (federal reserves considered private but actually owned by Treasury and please let's not get into this, you will end up with a headache) together with State and county/city governments own 23% of Public Debt which is 3.4T
So, in reality US taxpayers owes US taxpayers within the same government structure about 9T.

. Bundle? I got high-speed wi-fi free of charge in the city that I live. Free! Nada!

Speaking of your data, it's obvious that you just copy data without analyzing them. Those data are old and obsolete (2007) it's like giving me a 2007 GDP in 2018. If you are a bit educated, you wouldn't do that. This is 2018 hombre!
So why don't you take that index and stick it up your ass?

Second, this is from The Central Bank Of Kenya; Government expenditure in 2017/18 was 2.13T Kshs which is 21bn$.
21B$ is 27.6% of your GDP. Stop using Wikipedia, I can enter my data in Wikipedia, no matter how wrong and old.
You have a central Bank Webpage, You also have KNBS webpage full of updated info.

On the other hand, according to the Bank Of Tanzania, in 2017/18 fiscal year, total Government expenditure was 9.3bn$ which is 16% of total GDP.
Now you tell me, which private sector is largely responsible for driving their respective GDP?
 
Nimekujibu vizuri tu. Wewe ni MTU inayecheza na data, utalinganishaje data za 2007 na zile za 2010?, punguza ujinga, ninyi wakenya ndio mnaongoza kwa kupika data, ona hapo unalinganisha data za Tanzania (2007) na Kenya(2010), stupid kabisa wewe.
 
Nimekujibu vizuri tu. Wewe ni MTU inayecheza na data, utalinganishaje data za 2007 na zile za 2010?, punguza ujinga, ninyi wakenya ndio mnaongoza kwa kupika data, ona hapo unalinganisha data za Tanzania (2007) na Kenya(2010), stupid kabisa wewe.

I go with the latest data I find.
Tanzania kisiri kama North Korea. Don't blame me if your supreme leader has made it illegal to release data.
Kenya is an open society.
 
I go with the latest data I find.
Tanzania kisiri kama North Korea. Don't blame me if your supreme leader has made it illegal to release data.
Kenya is an open society.
These data belongs to WB and released by WB through their website, has nothing to do with GoT or GoT, again stupid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…