Deni la Taifa lazidi kupaa na kufikia 77 trillions

Mtaishia kusema Magufuli aliiba sana lakini mnashindwa kutueleza hizo pesa alizoiba alizipeleka wapi.
Kuna watu hapa walikuja mpaka na uongo kwamba amenunua manyumba Canada na wengine walisema amezificha China.

Kinacho wapa shida hawa watunzi ni kwamba Magufuli hakuwai kisafiri nje ya Africa wakati ni raisi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…