Deni la Taifa linaangamiza nchi ndio sababu naunda Serikali ya Vyama Vyote Ili kwa pamoja tupambane nalo

Deni la Taifa linaangamiza nchi ndio sababu naunda Serikali ya Vyama Vyote Ili kwa pamoja tupambane nalo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimeunda Tume maalumu ya kushughulikia deni la Taifa Ili tubaini mambo matatu
1. Tulikopa kiasi gani cha Fedha na kwa sababu gani

2. Miradi gani iliyotekelezwa kwa Mikopo hiyo na iko katika hali gani

3. Ni nani walibariki Mikopo hiyo na kwa Mamlaka gani ya kikatiba

Tukishajua haya Wananchi watajulishwa na wao ndio watatoa maamuzi ni hatua gani zichukuliwe zaidi ya zile za kisheria zilizopo

Hayo yamesemwa Kanisani Leo na Rais Ruto

Source: Citizen TV
 
Back
Top Bottom