Deni la taifa linadaiwa kuongezeka kwa 13% na kufikia Tilioni 64+

Deni la taifa linadaiwa kuongezeka kwa 13% na kufikia Tilioni 64+

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Hii ni zaidi ya hatari!

Japokuwa wanaendelea kujitetea kwamba deni la taifa bado ni himilivu lakini ukweli kama Nchi tunadaiwa pesa nyingi sana na hali hiyo lazima inaipa wakati mgumu Serikali kukusanya mapato yake.

Sipati picha ongezeko hilo lingetokea wakati wa Utawala wa JPM!
 
Hii ni zaidi ya hatari!

Japokuwa wanaendelea kujitetea kwamba deni la taifa bado ni him himilivu lakini ukweli kama Nchi tunadaiwa pesa nyingi sana na hali hiyo lazima inaipa wakati mgumu Serikali kukusanya mapato yake.

Sipati picha ongezeko hilo lingetokea wakati wa Utawala wa JPM!
Mbona hawasemi kuwa mpk lifike kiasi gani ndiyo lisiwe himilivu?
 
Unakopa, halafu unaenda kujenga madarasa!! Badala ya kuwakopesha wananchi wako hizo fedha kwa masharti nafuu, ili kuwekeza katika sekta ya viwanda, kilimo na biashara!

Yule mtangulizi wake naye alikopa matrilioni ya shilingi kwa ajili ya kujenga bwawa la umeme na SGR! Huwa hawana kabisa time na wananchi! Kwao maendeleo ni VITU, na siyo WATU!

Kwa aina hii ya viongozi wetu, wacha liendelee tu kukua. Maana hakuna namna.
 
Ukitazama takwimu za mwaka mmoja tu uliopita,utashangaa Mama alivyoupiga mwingi kwa kukopa,anaanza kuvunja records za maraisi wote tangu uhuru!!!

Swali la kujiuliza- kati ya Bara na Zanzibar,Mama ana uchungu na walipa kodi wa wapi?!!

Ama wote atawatosa na kuhamia Oman?!!
 
Back
Top Bottom