Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Mbona hawasemi kuwa mpk lifike kiasi gani ndiyo lisiwe himilivu?Hii ni zaidi ya hatari!
Japokuwa wanaendelea kujitetea kwamba deni la taifa bado ni him himilivu lakini ukweli kama Nchi tunadaiwa pesa nyingi sana na hali hiyo lazima inaipa wakati mgumu Serikali kukusanya mapato yake.
Sipati picha ongezeko hilo lingetokea wakati wa Utawala wa JPM!
Unaelewa nini na wewe ukishalipwa posho unabaki kupiga mapambio tupuBado himilivu!
Hata mbege tutaendelea kunywa!Unaelewa nini na wewe ukishalipwa posho unabaki kupiga mapambio tupu
Kama unakopa kwa speed 100kph ila unalipa kwa speed 10kph unategemea nini sasa?Naomba tujuzane.
Nimewaza Sana kwamba hivi deni linalipwa au tunakopa tuuu