Sheria ya kodi (VAT act,2004 section 66) inahitaji uandae Tax return kila mwisho wa mwezi wa biashara ili uweze kuwasilisha kodi husika ya VAT...ukishindwa kuwasilisha kodi hiyo kwa muda muafaka sheria (tax administration act 2015) inakutaka ulipe riba (interest) na penalty kwa miezi ambayo hujalipa.Habari zenu wadau.
Naomba kuuliza, ivi km una deni la vat labda la mwezi january ambalo hukulipa, inawezekana kulilipa kidogo kidogo huku unaendelea na biashara?
Sheria inazungumziaje kuhusu deni na ulipaji wake? Mana kuna kuna officer mmoja leo alinambia hakuna deni katika TAX... nikashangaa sana
Hakuna kifungu cha sheria kinachokuruhusu uwasilishe deni kidogo kidogo...Habari zenu wadau.
Naomba kuuliza, ivi km una deni la vat labda la mwezi january ambalo hukulipa, inawezekana kulilipa kidogo kidogo huku unaendelea na biashara?
Sheria inazungumziaje kuhusu deni na ulipaji wake? Mana kuna kuna officer mmoja leo alinambia hakuna deni katika TAX... nikashangaa sana
Asante kiongozi kwa maelezo mazuri. Jambo jengine samahani, hivi kampuni inawe ku declare bankruptcy? Na kama inaweza inakuaje madeni yake ya kodi? Je assets zinachukuliwa na serikali? Na kampuni inaweza kuomba kusamehewa deni ikiwa ili operate on loss?Sheria ya kodi (VAT act,2004 section 66) inahitaji uandae Tax return kila mwisho wa mwezi wa biashara ili uweze kuwasilisha kodi husika ya VAT...ukishindwa kuwasilisha kodi hiyo kwa muda muafaka sheria (tax administration act 2015) inakutaka ulipe riba (interest) na penalty kwa miezi ambayo hujalipa.
Katika kodi kuna madeni..maana deni lina maana hujalipa unachotakiwa kwa muda muafaka...when tax become due ..it is government money and it is debt ...
Nmetumia neno kuwasilisha kodi kwa sababu mfanyabiashara halipi VAT ila anakusanya kwa niaba ya serikali na kuwasilisha kila mwisho wa mwezi au baada ya biashara husika(business transactions) mtumiaji wa mwisho ndo hulipa VAT ambayo huambatanishwa na bei
Bankruptcy ina maana kwamba kampani ina hali mbaya kifedha na haiwezi kulipa wadeni wake. Kampuni inatangaza bankruptcy kupitia mahakama na ivyo MALI ZOTE (assets) huuzwa ili kuwalipa wadeni kwa usimamizi wa mahakamaA
Asante kiongozi kwa maelezo mazuri. Jambo jengine samahani, hivi kampuni inawe ku declare bankruptcy? Na kama inaweza inakuaje madeni yake ya kodi? Je assets zinachukuliwa na serikali? Na kampuni inaweza kuomba kusamehewa deni ikiwa ili operate on loss?