kumbaf sana aise dah!😹😹😹 Yaani wewe unaona kabisa unapata hasara lakini bado unakomaa kuwafurahisha maboss zako ili uonekane mfanyakazi bora??
Hapo kwa ulipofikia usikimbie watakupa kesi nyingine ya wizi wa fedha nyingi..!!
Cha kufanya kaa nao chini waelezee kila kitu mpaka huo mtaji alioweka mkewe usifiche. Kisha wao wataamua kama waboroshe biashara yao au wakufukuze sawa. Lakini Wewe kukimbia na kwenda kuwatafutia pesa za kuwalipa unajiongezea mzigo..!!
Asante mkuu. Ila nguvu tu pekee haitajiki. Kinachohitajika hapa ni pesa. Acheni ushauri wakijinga.Mungu akutie nguvu mkuu!
Asante mkuu......Asante mkuu. Ila nguvu tu pekee haitajiki. Kinachohitajika hapa ni pesa. Acheni ushauri wakijinga.
Dogo usijali karibuAsante mkuu......