Atanitia ndani mkuu na nyumbani ndo hvo tena hawana helaJikaze kaa nao na uwaambie ukweli, najua ni ngumu Sana lakini jikaze, always jifunze kukabili changamoto na sio kuzikimbia, hata ukikimbia bado nyuma umeacha msala au unaogopa ukimwambia anaweza kukutia ndani kabisa?
Kausha maana kama alikupa na mumewe hajui sio kesiWakuu Mimi nafanya kibarua Cha uwakala wa miamala. Kwakuwa bosi wangu aliweka mtaji kidogo mke wake aliniongeza kama laki tatu hivi japo alikuwa hajui kiasi Cha mtaji.
Aliniongeza Kwa makubaliano ya kutumia elfu2 Kila siku na Mimi nikijuwa kuongezeka Kwa kiasi hicho Cha mtaji kitanipa na Mimi balance ya kupata chochote kitu tofauti na mshahara.
Kiukweli Hali ilikuwa tofauti kwasababu sikuwa napata chochote zaidi ni bosi na mke wake ndo walifaidi mbaya zaidi nilikuja kupata loss na Ile hela ya mke wa boss nikai replace pale kwenye mtaji Ili nikiwa napiga hesabu na bosi iwe sawa wakati Mimi naendelea kuweka mshahara wangu kidogo kidogo Kwa ajili ya kulipa.
Sasa Hali imebadilika mke wa bosi anataka hela anasema ana shida nayo na mimi Kwa Sasa Sina, nimejaribu kuomba ndugu mkoani japo laki Moja nimpoze kwanza na maneno lakini ndugu hawana.
Nimewaza kutoroka nirudi nyumbani nikatafute hicho kiasi japo kidogo kidogo nilipe maana naona hapa tena Sina utulivu na hofu ni kubwa
NAOMBENI USHAURI WENU WAKUU
Hakuna haja ya kukudanganya kwasababu sikujui mkuu hiyo ni Hali inayonikabili Kwa Sasa. SIJAIBASema ukweli umeiba
Hela ya wakala inazunguka na kama unaona umekula mtaji kwanini uendelee kupokea hela?
Sema tu umezila maana hela yenyewe ni ndogo sana na wewe ukawa huna hata hicho kidogo
Vijana mkiaminiwa muwe na heshima na hela za watu
Nasema hili kwa uzoefu wangu wa hizi biashara
Umeandika kwa busara sana. Ushauri wako unajitosheleza. Pumbav..😹😹😹 Yaani wewe unaona kabisa unapata hasara lakini bado unakomaa kuwafurahisha maboss zako ili uonekane mfanyakazi bora??
Hapo kwa ulipofikia usikimbie watakupa kesi nyingine ya wizi wa fedha nyingi..!!
Cha kufanya kaa nao chini waelezee kila kitu mpaka huo mtaji alioweka mkewe usifiche. Kisha wao wataamua kama waboroshe biashara yao au wakufukuze sawa. Lakini Wewe kukimbia na kwenda kuwatafutia pesa za kuwalipa unajiongezea mzigo..!!
Atakuwa Mpwayungu Village huyu maana ndo mwenye mada kama hizi.Tumia I'd yako ya zamani tuone jinsi ya kukusaidia
Hizi I'd mpya mpya zinatuchanganyaAtakuwa Mpwayungu Village huyu maana ndo mwenye mada kama hizi.
Sh laki tatu kweli ukimbie? Hizo hata nauli haitoshi. Ukija kwangu kama Una bidii ya kulima ni wiki mbili tuu unaondoka na hizo lk 3.Sasa ndio msinipe mbinu za kukimbia kisa ID mpya wakuu
Maisha magumu bro kaa hapo hapo ulipe deni kidogo kidogo au kama una uhakika na unakoende nendaWakuu Mimi nafanya kibarua Cha uwakala wa miamala. Kwakuwa bosi wangu aliweka mtaji kidogo mke wake aliniongeza kama laki tatu hivi japo alikuwa hajui kiasi Cha mtaji.
Aliniongeza Kwa makubaliano ya kutumia elfu2 Kila siku na Mimi nikijuwa kuongezeka Kwa kiasi hicho Cha mtaji kitanipa na Mimi balance ya kupata chochote kitu tofauti na mshahara.
Kiukweli Hali ilikuwa tofauti kwasababu sikuwa napata chochote zaidi ni bosi na mke wake ndo walifaidi mbaya zaidi nilikuja kupata loss na Ile hela ya mke wa boss nikai replace pale kwenye mtaji Ili nikiwa napiga hesabu na bosi iwe sawa wakati Mimi naendelea kuweka mshahara wangu kidogo kidogo Kwa ajili ya kulipa.
Sasa Hali imebadilika mke wa bosi anataka hela anasema ana shida nayo na mimi Kwa Sasa Sina, nimejaribu kuomba ndugu mkoani japo laki Moja nimpoze kwanza na maneno lakini ndugu hawana.
Nimewaza kutoroka nirudi nyumbani nikatafute hicho kiasi japo kidogo kidogo nilipe maana naona hapa tena Sina utulivu na hofu ni kubwa
NAOMBENI USHAURI WENU WAKUU
Hapo nimekuelewa mkuu ila kwenye kupatwa na shida nyumbani c anaweza akataka kujiridhisha. Nikimwambia moja Kwa Moja kuhusu loss c ndio itakuwa rahisi kuelewaUkimbie upewe kesi ya kuiba hiyo hela mara Tatu yake. Alafu uone kama hujawekwa ndani uli wakukomeshe.
Ukifungwa hata mwaka hivi watakuwa wamekutoa kwenye Romani kabisa.
Ulichofanya ni Wizi.
Huwezi fanya biashara au kula ganji kwenye biashara ya mwenzako. Hiyo ganji ndio imefilisi huo mtaji kwa kuamini hela itarudi.
Mshahara kama haukutoshi achaga kazi kajiajiri.
Maboss wengi sio waelewe.
Chakufanya sasa hivi.
Ongea nao. Waambie ukweli lakini udanganye kidogo. Hasa matumizi udanganye kidogo.
Sema ulipatwa na tatizo home ambalo ni privacy ukatimia hela.
Omba msamaha na eleza wakate mshahara mpaka hela itakaporudi yote.
Sio usamehewe burebure
Hapo nimekuelewa mkuu ila kwenye kupatwa na shida nyumbani c anaweza akataka kujiridhisha. Nikimwambia moja Kwa Moja kuhusu loss c ndio itakuwa rahisi kuelewa
Tanzania jamani kuna maisha magumu acheni tu! Watu wanaishi mjini kwa laki 2, sijui wanafanyaje aisee!Maísha haya bhana. Yaani unachangisha laki na huipati wakati mida hii me nimekaa baa na nimeshalipa bili ya kwanza elfu 76
Kama wewe ni wa kiume,tarajia mashitaka ya kumbaka mke wa boss wako.Wakuu Mimi nafanya kibarua Cha uwakala wa miamala. Kwakuwa bosi wangu aliweka mtaji kidogo mke wake aliniongeza kama laki tatu hivi japo alikuwa hajui kiasi Cha mtaji.