Deni limenifunga kazini nataka kutoroka nikalipe kidogo kidogo

Waeleze ukweli tuu, ukikimbia siku nyingine utakosa msaada ukiwahitaji
 
Wewe na boss bado mna jitafuta, mbuzi kafia kwa muuza bucha wateja hatu nunui nyama ya mbuzi alie kufa mwenyewe
 
We unashindwa vp ,kabla hujatoroka usimpe senti 1 na mwambie akiendelea kusumbua unamjulisha mumewe simpre.
Huku unaangalia kibarua kingine
 
...kaa nao chini waelezee kila kitu mpaka huo mtaji alioweka mkewe usifiche....
Ushauri wa hovyo kabisa...kisha haribu kazi unataka sasa aharibu na ndoa ya watu!achana na roho mbayaa
 
No, mke mwenyewe shetani tu kwanini kaweka mtaji juu ya mtaji wa mumewe shenzy.
Kajiongeza tu...hata jamaa angekuwa na mtaji angeweza kujiongeza kwa kuweka hela yake hapo...ushauri wa kumchoma mke ni wa kitoto...
 
Kajiongeza tu...hata jamaa angekuwa na mtaji angeweza kujiongeza kwa kuweka hela yake hapo...ushauri wa kumchoma mke ni wa kitoto...
We ushafanya hivyo subiri tumjulishe mumeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…