Deni limenifunga kazini nataka kutoroka nikalipe kidogo kidogo

Deni halikimbiwa dada. Deni linalipwa. Pambana ulipe. Kwani hujawahi kudaiwa katika maisha yako yote? Kudaiwa ni moja ya sifa za kuja kuwa mfanya biashara mzuri.
Kaza ulipe pesa za watu.
 
Kila mjinga anapaswa kujifunza
 
Mwambie ukweli tu kilichotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…