DENI:MALI YA KENYA HATARINI

Tunawakaribisha sana wachina waichukue Kenya yote wajenge miundo mbinu hadi kule Turkana vijana wetu wapate kazi. πŸ˜€πŸ˜€
 
Halafu kina 254 wanakuja hapa na kujifanya hali ni shwari huko kwao!
 
Halafu kina 254 wanakuja hapa na kujifanya hali ni shwari huko kwao!

Watalia baada ya kuona bandari yao inaondoka. WaZambia walienda baraza zima la mawaziri, lkn kilichotokea ZESCO ilienda na maji. Mchina kaitia kibindoni.
 
Mkuu wao anasema amesaini mkataba wa kuuza maparachichi China kumbe atakuwa amesaini invoice ya deni. +254 hilo gazeti mnalitambua au mtasema ni la +255.
 
Tunawakaribisha sana wachina waichukue Kenya yote wajenge miundo mbinu hadi kule Turkana vijana wetu wapate kazi. πŸ˜€πŸ˜€
Hata dawa zikizidi unabadili namna ya kuzitumia.

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], sasa unatwambia ni bora wachina waje nchini.
 
Washukuru MChina kawanyima hela. Wangekuwa watumwa kwa miaka 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…