Mkuu kuna watu wengine akili zao zinawatosha wao na familia yao tu! Hazina msaada nje ya hapo! Yeye anafikiria wanaougua ukimwi ni wazinzi tu. Hajua kuna wake/waume wanaletewa na wenza wao, hajui kuna watu wanaambukizwa kwa kubakwa, hajui kuna watoto wanazaliwa nao -kama ulivyomwambia, hajui kuna watu wanaambukizwa kwa bahati mbaya wakati wakiuguza au hospitalini wakati wanatibu/kutibiwa, hajui hata hao wazinzi wengine wakikupa back-ground zao utatoa machozi!
Umeasema 'Itakuwa vyema sana' marejesho dawa haitolewi mpaka mtuhakikishie kuwa mtatulia,maana kuna watu wako standby hapa wanasubiri tu dawa imwagwe waanza kufungulia zipu zao!
:mmph: