Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Bibie upo?Huyo dentist kaharibu mood ya mrembo wa watu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitumie msimbazi ninywe bia, nikilewa nitakutafsiria...Bibie upo?
Fanya maarifa basi unitafsirie na mimi nipate cha kuchangia[emoji6]
Maandiko yanasema "Ole wake ampaye mwenzake kileo"Nitumie msimbazi ninywe bia, nikilewa nitakutafsiria...
Nipo nimejaa tele ka pishi la mchele
Zawadi ni chochote, nitumie kwenye namba hii 0123456789 jina ni Thad Nyansya. Usicheleweshe nimeshaagiza pepsi hapa kwa mangiMaandiko yanasema "Ole wake ampaye mwenzake kileo"
Naomba nikutumie 500 ya soda kwa leo.
Hesabu hilo limeisha, labda kama kuna jingine.Zawadi ni chochote, nitumie kwenye namba hii 0123456789 jina ni Thad Nyansya. Usicheleweshe nimeshaagiza pepsi hapa kwa mangi