Kui shosti...matatizo kwenye ndoa yapo sana ...lazima denzel na mkewe wana ups and down ila ndiyo hivyo wana solve and move on..kama ukiweka divorce is an option kwenye ndoa yako then you will divorce....i guess denzel na mkewe wako so devoted na ule msemo wa kanisani for better for worse wameutiliya mkazo...26 years siyo mchedho....hii ndiyo ndoa za wazazi wetu....watakorofishana lakini watoto hamuwezi kujua kabisa...they keep it to themselves kama nothing happened for really!..
hongere zao,lakini unajua wanawake wengi matatzio wanajitakia wao wanona suluhuu ya mfarakano katika ndfoa ni kutafuta mwanaume mwingine wa kukuliwaza wakati wa matatzio sasa ngoja jamaa agundue akichangaya na mliyonayo we kwa heri tu yaaani usalimimiki hasa kwa wale wenye msimamo.