Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Kila nikitaka kutoka huku mikoani kuja Dar es salaam, naiona dar es salaam imewekwa matuta na Viongozi. Yaani siwezi kupita mpaka matuta yatoke.
Duuuh.....wachawi bwana wana visa hasa.
deogratius Nalimi Kisandu
View attachment 472020
Naona dishi limeanza tena kuyumbaView attachment 472020 Kila nikitaka kutoka huku mikoani kuja Dar es salaam, naiona dar es salaam imewekwa matuta na Viongozi. Yaani siwezi kupita mpaka matuta yatoke.
Duuuh.....wachawi bwana wana visa hasa.
Deogratius nalimi KisanduView attachment 472026 Deogratius Nalimi Kisandu
Mnajua pengine Deo anatuona sisi hatuna akiri
kama unaona kuna matuta sasa si ulime viazi vitamu uuze
Lakini kuna kitu nimeanza kukisoma kwako yani km nakuelewahapana
Kwa wale wanaotambua taifa la.wagaga gigi koko huyu ni mzawa wa taifa hilo.Mods huyu atafutiwe usafiri wa kurudishwa kwao.Awe PI'ed haraka .Wakati mwingine ifike mahali huyu zez.eta Jf ipuuze kwa kufuta ushuzi wake humu, na kama ni matatizo ya akili basi anahitaji tiba ya haraka kabla ajaanza kuokota makopo.
We umedatA bange za utotoni zinaanza kazi mda huu ...puff moja miaka saba..sasa we ulipiga pafu elfu ngapi?mata saba..unatuchoshaMkuu unahitaji msaada wa kuchunguzwa akili na kupewa matibabu husika kabla hujaharibikiwa zaidi, Eti wachawi wameweka matuta Dar ili DK asitie mguu kwenye jiji la maraha lol! Hahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usisemee wote sema hiviMnajua pengine Deo anatuona sisi hatuna akiri