Deo Kisandu ,Le Mutuz na HR 666 nahisi ni watoto wa baba mmoja mama mmoja

Hapana
Ulishawahi kunianzishia thread ya kijinga...nashangaa unavyonambia niache shobo akati wewe ndio ulizianzisha kwangu
embu iweke apa iyo thread.

au screenshot sehemu yoyote ambayo nishawahi kukutaja.
 
Hata mimi nilishangaa asee...umejiunga mwezi huu ila unaanza kushobokea usiowafahamu
umu nimewanzishia thread members hawa tu

Kapeace,joseverest,deo kisandu ,le mutuz na hr 666

takataka kama wewe siwezi poteza bando langu kukupaisha.
 
weka ushahidi apa.
au onesha ata sehemu nilipotaja ata jina lako tu.
Asa ushahidi si ndio niliwaambia moderators waufute...uchafu ule nisingeweza kuvumilia kuuona kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…