Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Makusanyo ya mapato ya makampuni ya bia nchini yameshuka kwa karibu asilimia 20, hali inayoonekana kusababishwa na kupungua kwa wanywaji wa bia kufuatia ongezeko la ushuru wa bidhaa lililowekwa na serikali. Ongezeko hili la ushuru limewafanya wanywaji wengi kuhamia kwenye vinywaji mbadala ambavyo vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya.
Akizungumza bungeni leo, Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Philip Mwanyika ameeleza kuwa hali hii ina athari kubwa si tu kwa afya ya wananchi, bali pia kwa uchumi wa taifa.
Soma pia: Kinachoendelea katika Mkutano wa 17 wa Bunge la 12, Kikao cha 8 Novemba 7, 2024 Asubuhi
Akizungumza bungeni leo, Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Philip Mwanyika ameeleza kuwa hali hii ina athari kubwa si tu kwa afya ya wananchi, bali pia kwa uchumi wa taifa.