Deo Ndejembi kuwa Makamu wa Rais

Kutokana na sintofahamu inayoendelea na kufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Mh. Emmanuel NCHIMBI, duru zinaonyesha mwenye nafasi kubwa ya kuchukua kijiti basi ni kijana wetu Deogratius Ndejembi
Yaani CCM wanatuambia ikitokea Samia anakufa akiwa raisi huyu jamaa ndio anakuwa raisi wa Tanzania, sivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…