Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nimemsikia Balile anasema waziri wa habari Jery Silaa ni mchungaji wao na wao vyombo vya habari ni kondoo wake waziri! Haya ni maajabu na hii ni kauli ya hovyo sana. Utaiwajibishaje serikali kwa mtazamo kama huu?!
Huyu mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Tanzania(TEF) ni kama haielewi kabisa umuhimu wa vyombo vya habari kuwa huru kutoka mkono mrefu wa serikali, sijui ni kwa maslahi yake binafsi au upeo wake finyu wa kuelewa kwamba vyombo vya habari ni watchdog au fourth estate ya kuiwajibisha serikali yote kwa ujumla!
Pia soma Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF): Waziri Silaa ameshindwa kuwa karibu na Waandhishi wa Habari