KirilOriginal
JF-Expert Member
- Feb 13, 2012
- 2,161
- 1,147
Deodatus Balile unaandaa vipindi vizuri na unapata wachangiaji wazuri ila
wanapokuwa wakitiririka unawakatiza na kuchomeka maswali yasiyoendana na anachoongea mchangiaji, tafadhali kaka!
Mfano ni hii mada ya Jicho letu ndani ya habari wk 21.