Deogratias Mahinyila upo?

Deogratias Mahinyila upo?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Deogratias Mahinyila upo ktk Tanzania hii?

Sijaona ahadi zako za uchaguzi za kumtoa Mbowe?

Kila kijana ulimuahidi utampa wakili wake .

Jee huyu katibu wa chadema mwanza vipi?
 
Deogratias Mahinyila upo ktk Tanzania hii?
Sijaona ahadi zako za uchaguzi za kumtoa Mbowe?
Kila kijana ulimuahidi utampa wakili wake .
Jee huyu katibu wa chadema mwanza vipi?
Kwani mmeshamfikisha mahakamani?! Kituo Cha polisi wakili atafanya kesi na nani?
 
Deogratias Mahinyila upo ktk Tanzania hii?
Sijaona ahadi zako za uchaguzi za kumtoa Mbowe?
Kila kijana ulimuahidi utampa wakili wake .
Jee huyu katibu wa chadema mwanza vipi?
Una nongwa kama mwanamke mjamzito. Hembu waulize kwanza ccm zile ahhadi walizoahidi kwa watanzania 2020 wamezikamilisha???
Kumpa mtu wakli haianishi kwamba lazima huyo wakili atembee nae kama tai hata kama hana makosa mbele ya sheria.
Kama ulimpenda sana mbowe mpelrke kwa bi mkubwa wako wakaishi pamoja ili kila siku undone asubuhi AKIAKWA
 
Back
Top Bottom