Elections 2010 Deogratias Ntukamazina, nuru mpya ya wana Ngara!!

Rutunga kwa kuongezea lini wana ngara waliwahi kusema hatukupata mbunge safi? Maskini wana ngara kila msimu wa uchaguzi uja na kauli hizo hizo kuwa wamepata chaguo bora kisha uangukia pua. Ngoja utasikia wewe mwenyewe.
 
Mficha ugonjwa ekililo kilambula. Alisema Nyerere
 
????:nono: Hapo sasa! Nilitegemea utasema amuone nyumbani kwake Ngara! haya bwana mie simo kama Ngara wameuziwa mbuzi kwenye gunia!
 



Hapo kwenye red....kampeni ya wazi wazi ya kupata Uwaziri.
Ngara na wenzio (jamaa za Mhe Mbunge), hebu tupeni majibu ya maswali yafuatayo:
1. Alipokuwa Katibu Mkuu Utumishi wa Umma Ntukamazina alifanya jambo gani la tofauti la kukumbukwa na watumishi wa Umma;
2. Mhe Mbunge mteule wenu ana ajenda gani ya kimaendeleo kwa Watanzania, na wana Ngara? What is his mission?
Kama ni kutafuta cha kum-keep busy hatumtaki....nataka majibu ya kuridhisha
 
Akianani huyu mlevi Tibaigana kama angepata nafasi ya kwenda bungeni ningehama nchi hii........ sijui angesema nini au kufanya nini zaidi ya kuongeza ulevi. Hawa ndio aina ya watu inawapenda sisi m bahati alitokea mama yule Professor kuokoa jahazi.
 

USHINDI WAKE SI WA MIZENGWE???? KAMA NI WA MIZENGWE a.k.a CHAKACHUA NI WALEWALE!!
 
Hivi huyu jamaa anaeongelewa hapa ndo huyu hapa au mwingine? Manake kama ndo huyu kuna walakini

Hii thread below naona kama inaelezea mengi ya watu hawa:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...kongwe-wa-ccm-na-tanu-ajiunga-na-chadema.html
 
baada ya kugundua kwamba kuanzia mwezi wa kumi kuna uchafu mwingi una kuwa posted hapa janvini ambao unachosha macho na akili, nimeamua kuangalia umri wa member kisha hoja yake kabla ya kuamua nishiriki katika mjadala au la. fuatilia umri wa wachangiaji katika thread hii kuanzia juu, kisha tathmini hoja yenyewe.
 
Mimi nina mashaka kidogo na ukali wake. Huyu ni mwenyekiti wa bodi ya shirika moja la umma. Lakini sidhani kama amefanikiwa sana kunyoosha yale yanayopindishwa na mkurugenzi mkuu wa shirika hilo la uma ambaye amegeuza shirika kuwa kituo cha majungu. Watu wanahamishwa na kubadilishwa vyeo bila kujali ufanisi ila majungu na taarifa za kipuuzi (Na mengine mengi, lakini hapa sio jukwaa lake). Ameingia kwenye mkumbo wa kuhadaiwa na mkurugenzi huyu asiye na maadili. Kama mwenyekiti wa bodi nadhani ana nguvu lakini kuna mambo kadhaa na yeye ameyaendekeza akiwa anayaona kabisa. Sina uhakika kama ni upole au kuna lingine, ila natilia shaka uadilifu wake. Inawezekana ni afadhali kuliko wengine lakini tusitoe sifa zilizopitiliza
 
Umri wa mchangiaji katika forum ni immaterial. Majority wamejiunga katika kipindi cha kuelekea uchaguzi si kwamba ni wapya mzee, bali waamebadili identity kwa sababu mbalimbali. Kuna watu ni members since Jambo Forum.
 
Ngara, nakukubali. Regardless of the party, kama mtu ni mzuri ni mzuri tu na lazima tuseme hivyo!!!!!!!
 
Wasiwasi wangu asije akawa kati ya wale wanaokua wanaongea kama wana uchungu na nchi then anapomalizia hoja anasema " Naunga hoja kwa asilimia mia" wakati ndani ya hotuba ameonyesha kutokukubaliana na hoja.
 
Asije akawa anauma na kupulizaaaaaaaaa
Alafu iyo Surname sio ya kule kwa mzee Kagame?
 
Wasiwasi wangu asije akawa kati ya wale wanaokua wanaongea kama wana uchungu na nchi then anapomalizia hoja anasema " Naunga hoja kwa asilimia mia" wakati ndani ya hotuba ameonyesha kutokukubaliana na hoja.

Usinikumbushe waliyotufanyia akina Mwakyembe, Anna Kilango, Sitta na wenzao hoja ya RichMond!! Unafiki mtupu ndio wanasiasa wetu wa Kijani hao!!!:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
Usinikumbushe waliyotufanyia akina Mwakyembe, Anna Kilango, Sitta na wenzao hoja ya RichMond!! Unafiki mtupu ndio wanasiasa wetu wa Kijani hao!!!:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
hawa watu wa kijani bwana They mean what they do not say and they say what they do not mean. Wanadai eti wanadumisha Amani na utulivu ni kweli jamani kwa mwenendo huu wa kuchakachua kura na kutumia mabomu ya machozi
Hawa wanawajengea wananchi usugu maana baadae tutayazoea mabomu ya machozi wataamua kuanza kutumia yenyewe na hapo sasa amani itakua haipo kabisa
 

We should care about the integrity of the individual and not his or her party.come ö pple
 



Kwenye hiyo blue nipate majibu

Hivi yupo Ngara au Mbezi Beach ya Ngara,Je kwenye kamnpeini hawakutumia picha yake badala yake huku mke wake akitumika kumuombea kura mmewe mgonjwa

Hivi unajua mimi niko wapi,Je kama nipo ngara kwenye timu iliyokuwa ya kampeini,Wewe ni mgeni humu JF kuwa makini,utaumbulkiwa hata unayopanga na mkeo.

Ntukamazina ni mtu safi hata kule Mfuko wa bima ya afya wanajua hilo,nimezunguka naye mikoa 7 nchini namjua vizuri pengine kuliko yeye,nimekwisha mpigia simu kumpongeza lakini issue hapa ni kuwa wana ngara wamechagua mtu mgonjwa ambaye ugonjwa wake unaweza kusababisha hasifike bungeni(Sipendi iwe hivyo)

Endelea kujibu
 

Ngara wamchagua chama wala si mtu. Habari za uchamungu sina uhakika nazo ila hapa JF kulikuwa na thread moja iliyoongelea kuhusu barua yake ya mapenzi na mwanafunzi wa shule ya sekondari wakati amestaaf ukatibu mkuu. hata hivyo, yetu macho. 2010 to 2015 siyo mbali tutaona jinsi atakavyoifanya Ngara kupaa kimaendeleo. Kwa taarifa nilizo nazo, hakuleta maendeleo yoyote katika wilaya yake aidha kwa nguvu yake mwenyewe au kwa kuishawishi serikali kufanya lolote.

Kuchaguliwa kwake kulijaa Rushwa tangu kura za maoni (kwa sababu yeye ndiye aliyeongoza kwa kutoa Rushwa kati ya wagombea wote). yeye kama CCM anaendekeza kuwapa pombe wananchi kwa kuwa hayo ndo mahitahi yao.
 
Ndugu Dreamer, usikariri, angalia mtu binafsi usiangalie chama, je kina Mwakyembe si wako CCM au na wao unawaita mafisadi?

Ufisadi ni dhana pana sana, hao uliowataja hapo juu kama kweli sio mafisadi na kwa dhati wanauchukia ufisadi ilikuwaje kati yao walikuwa katika kundi la wabunge waliokuwa wanachukua posho mbilimbili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…