Elections 2010 Deogratias Ntukamazina, nuru mpya ya wana Ngara!!


Poleeeeeeeeeee kwa kuudanganya umma ndugu yangu naufahamu ukwel wa Ngara na Siasa zeke na ukwel wa Maisha ya Ntukamazina kwasababu ni mtu wa karibu sana na huyu mzee wetu
1. Mzee ana matatizo ya mgongo, fuvu la kichwa pia anatatizo la shingo. Kwa wale walioshiriki kwenye kampeni za kura za maoni watathibitisha hilo. Anavaa bandeji kiuononi na lilifunguka kipindi cha kura za maoni wagombea wenzake walimfunga kwani kiuno chake ni kibovu.
2. Huyu mzee sio muadilifu kivile ni mtu wa visasi sana na ni mbinafsi sanaaaaaaaaaa.
3. Ametumia fedha nyingi sana kipindi cha kampeni kwa kuwahonga wapiga kura waliokuwa kambi yake kipindi cha kura za maoni wanasema Mzee alitumia zaidi ya Milion 400 kupata ubunge.
4.Huko India alipelekwa na raisi Kikwete kwa kodi za Wananch kwa ajir ya matibabu.Rejea kampeni ya Raisi alivyokuwa Ngara mji mdogo wa Rulenge Kikwete alitamka kwa kinywa chake kua Serikali itampeleka India kwa ajir ya Matibabu
5. Huyu Mzee ni mgonjwa tena sana mpaka sasa yuko kitandani hali sio nzuri anatembelea magongo
6.Kampeni amefanyiwa na Mwenyekt wa Chama (W) Mke wa Ntukamazina, Mshindi wa pili wa Kura za Maoni na bwana mdogo anaitwa Bahati (Amepewa milion 10 kwa kufanya kazi hii)
8. Nikumabie ukwel huyu mzee hakubarik kabisaa ila sema si unajua tena wapiga kura wetu wana njaa kwa ajil ya pesa ndo maana amechaguliwa.
Siasa za Ngara sio kama unavyozania zimegawanyka sehem 2 za kikabira. Upande wa Ushubi na Ungaza. Upande wa Uangaza huyu mzee ndo hawataki hata kumuona hata ukingaria kura nyingi alizopata Sam Ruhuza (NCCR Mageuzi) zimetoka huko na huyu mzee kapata kura nyingi upande wa Uanga
Kuna kashfa nyingi zinazomuandama huyu mzee ikiwa matumizi mabaya ya ofisi na rushwa
Mwisho wanachi wa Ngara walichagua picha kwani ameonekana mala 2 tu siku za mwisho yani Ijumaa na Jumamosi kipindi cha kampeni zake.Ruhuza (NCCR) aliwaambia kuwa wananchi acheni kuchagua picha na mtu kilema aliyekitandani mda wote.
Tafadhari ndugu yangu Namaki acha kudanganya wana JF hapa
 
Kama ni mtu safi ambaye anapingana na mafisadi hata kama ni ssm anafaa tu kama vile ambavyo nimefurahia kina Anne Kilango, Mwakyembe, Sitta, Magufuli, Beatrice Shelukindo, na wale ambao unawafahamu kuwa walikuwa wachapazazi wa ssm kurudi jimboni.


nawaheshimu sana kina Mwakyembe na wengine ambao wako ccm lakini wanawapigania wananchi kwa moyo wote, japo wankumbana na vikwazo ndani ya chama nakuambiwa wanakiharibu chama, HATA KAMA UKO CCM PIGANIA HAKI YA WA TZ, TUTAKUFURAHIA , lakini kuwa ndani ya ccm na kupigania haki ya tz na gharama zaidi, hongereni wapiganaji wetu,
 
Ufisadi ni dhana pana sana, hao uliowataja hapo juu kama kweli sio mafisadi na kwa dhati wanauchukia ufisadi ilikuwaje kati yao walikuwa katika kundi la wabunge waliokuwa wanachukua posho mbilimbili?[/QUOTE]

Hapo sasa...........!!!@@@#@%????
 
Maadamu yuko huko atabanwa mbavu asifurukute
 
Namaki na Ngara acheneni kupotosha umma nahic umekuja hapa kwa ajili ya kufagilia huyu mzee ili aonekane mtu msafi.
Hapa hapa jamvini iliwekwa barua ya mapenzi huyo mzee akimuandikia mtoto wa Form two.
Pia naona siasa za wilaya ya Ngara huzijui, Pia unafikir wananchi wamesahau jinsi huyu mzee alivyoteuliwa kwa rushwa kweye mchakato wa kura za maoni.
Sifa za Ntukamazina
1. Ameingia madarakani kwa rushwa
2. Ni mgonjwa sana mpaka dakika hii ana mataizo ya Shingo, fuvu la kichwa, Kiuno, Presha na kisukari. Kuthibitisha baadh ya hayo amejifunga bandage kubwa kuzunguka kiunoni (Ilifunguka kipindi cha kura za maoni na wagombea wenzake wakamfunga upya na ndipo alipozungumza kinachomsibu)
3. India alipelekwa na raisi Kikwete kwa kutumia kodi za wananchi (Rejea kampeni ya Rais alipokuja Ngara ktk mji mdogo wa Rulenge) akiwaahd wananchi kua serikali itampeleka kwenye matibabu na kwel ilifanyika
4. Ni mtu wa kulipiza visasi sana
Kampeni zake zilifanywa na mkewe, M/kit wa chama (W), Gashaza (Mshindi wa 2 kura za maoni) Bahati (Mshindi wa 9 kura za maoni) Bahati ailipewa milion 10 ikiwa ni mkataba kati ya Ntukamazina ili ampgie kampen
Ntuka mazina kafanya mikutano ya hadhara 2 tu ni mgonjwa sana hana uwezo wa kufanya kampeni.Shukran zimuendee mke wake aliyefanya kampeni mwanzo mpaka mwisho
Maswal ya kujiuliza.
Kwanini Ntukamazina amekuja kugombea 2010 wakat alistafu kazi mwaka 1996. Kama alikua na nia ya dhati kuwatumikia wana Ngara kwanini asigombee 2000 au 2005
Kwanini atumie zaid ya milion 400 kwa ajili ya kupata ubunge
Siasa za Ngara zimegawanyik sehem 2. Ushub na Uangaza. Upande wa uangaza Ntukamazina hakubariki kabisaaa kudhihisha hayo alipata idadi ndogo sana ya kura
Kasha ya kutokujenga kwao na kusahau kuwasaidia wana Ngara pindi alipokuwa madarakani.
Kipindi mama yake mzazi alipofariki hakumjengea nyumba yoyote ile aibu kubwa sana ilimpata kipindi cha mazishi.
Pole Ngara na Namaki (Nimezaa) kwa kutokumjua huyu mzee kiundani zaidi. Kwa taarifa yako yuko Dar eti ameenda kuongea na Kikwete ampe Uwaziri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…