Deogratias wa Nirvana acha kukosoa uvaaji wa wenzio ilihali na wewe ukivaa hovyo

Deogratias wa Nirvana acha kukosoa uvaaji wa wenzio ilihali na wewe ukivaa hovyo

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
4,208
Reaction score
14,143
Huyu jamaa amekuwa anakosoa uvaaji wa wenzie yeye anaita dhambi za "fashiooone" ilihali hata yeye uvaaji wake naona kama una tatizo.
 
Deo Kisandu mbona tunamjua kwamba ni saa mbovu kitambo...... tehteehhh
 
Hiyo ni kazi yake, hata Zamaradi alikua anakosoa movies za wenzie hali ya kua yeye si muigizaji, Salama Jabir alikua anakosoa videos za nyimbo wakati yeye si muimbaji, hata wewe unakosoa wachezaji mpira hali ya kua hata rede hujawahi kucheza, lol.... that's life man, don't be so bitter you will grow a wrinkles.
 
Back
Top Bottom