Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo Yake yepi ambayo huelewi?I like the guy ni mtangazi mzuri sana anaijua kazi yake vilivyo. Though ana mambo yake mengine huwa sielewi but all ina all yupo vzr kwa watangazaji wa EATV. Karibuni mwenye mtazamo kama wangu au vingine
Haahaaa haaa! Yaani we acha tu!Fashioooniiiiii....raha sana.......sasa na dhambi za fashion ndio mwendo wa kuwachora tu wavurundaji.
Sasa hivi ni zaidi!Nirvana ilikuwaga nzuri enzi za Irene Kiwia na Abby baada ya hapo ilipoteza mvuto.
Kumbeee...sawaNirvana ilikuwaga nzuri enzi za Irene Kiwia na Abby baada ya hapo ilipoteza mvuto.