Deogratius Kithama karudi kwenye kipindi cha Nirvana kitarudisha hadhi yake

Kalpana

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
32,603
Reaction score
62,269
I like the guy ni mtangazi mzuri sana anaijua kazi yake vilivyo. Though ana mambo yake mengine huwa sielewi but all ina all yupo vzr kwa watangazaji wa EATV. Karibuni mwenye mtazamo kama wangu au vingine
 
Mambo Yake yepi ambayo huelewi?
 
Fashioooniiiiii....raha sana.......sasa na dhambi za fashion ndio mwendo wa kuwachora tu wavurundaji.
 
Nirvana ilikuwaga nzuri enzi za Irene Kiwia na Abby baada ya hapo ilipoteza mvuto.
 
Ni creative kwenye maswali na anajua jinsi ya kuwauliza
 
Jamaa anajitahidi sana.Anakifanya kipindi kivutie mengine hayanihusu!
 
Reactions: Pep
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…