Watu wanajua kujpgia promo balaaUtakua ndo wewe.
Kwamba hana marinda au?
Mhenga amepotea jukwaaNirvana ilikuwaga nzuri enzi za Irene Kiwia na Abby baada ya hapo ilipoteza mvuto.
Yani lily alikua anabore mnoo maswali ya hovyo na kujielezea sio mzuriWow...I like him too tena akiwa na Lotus mama wa L.O.L siyo huyu Lillian kamazima toooooo boringgggg
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana hata yeye mwenyewe mshamba mshambaYani lily alikua anabore mnoo maswali ya hovyo na kujielezea sio mzuri
Sana hata topic zake in short she ain't breathtaking bora hata LotusHahhahha alikubore mazima